Pepo Nne: Diwani Ya Malenga Wa Mlima Meru

Pepo Nne: Diwani Ya Malenga Wa Mlima Meru

By (author) 

List price: US$10.78

Currently unavailable

We can notify you when this item is back in stock

Add to wishlist

AbeBooks may have this title (opens in new window).

Try AbeBooks

Description

"Pepo Nne" ni mkusanyiko wa mashairi 66 yaliyogawanywa katika vifungu vinne: Upepo wa Mapenzi, Vituko, Mafumbo na Maisha. Mithili pepo nne zivumazo angani, diwani hii ni mchanganyiko wa hisia, matukio, wasia na ndoto za "Malenga wa Mlima Meru". Zikutanapo, hatima yake ni uhondo wa mantiki uliokaangiwa mafuta ya ustadi wa sanaa na kutiwa viungo vya maadili, mafunzo, vichekesho na maswala yenye kusisimua bongo la msomaji. Diwani hii haikukusudiwa tu msomaji mwenye kutaka kukata kiu cha uraibu wa mashairi ya Kiswahili au hata kutafakari juu ya maisha -- hasa siasa, utu na dini. Vilevile, inaweza kutumiwa kufundishia mbinu za utunzi wa mashairi. Kigaroni pamekwama swala nyeti la umalenga wa karne tuliyomo, na wasomi na wapenzi wengine wa fasihi hii wametoa maoni yanayohitilafiana kuhusu ni mashairi yapi yaliyo na hadhi ya juu zaidi -- yenye kuungama sheria za jadi za mashairi - kama vile Pepo Nne - au yasiyozijali, yaani 'free verse' au, wayaitavyo wenye kuegemea ukae kama mwandishi wako, 'mashairi guni'?
show more

Product details

  • Paperback | 132 pages
  • 148.08 x 209.8 x 7.62mm | 231.33g
  • London, United Kingdom
  • Swahili
  • 0557132266
  • 9780557132263