Msichana Anne wa nyumba ya paa la kijani (Anne of Green Gables)

Msichana Anne wa nyumba ya paa la kijani (Anne of Green Gables)

By (author) 

List price: US$2.99

Currently unavailable

Add to wishlist

AbeBooks may have this title (opens in new window).

Try AbeBooks

Description

Mama Rachel Lynde alikuwa anaishi pale barabara kuu ya Avonlea inayoingia katika kijimsitu kilichojaa miti ya aina yake ambayo hutoa dawa, na kuna kijito kinachokatiza ambacho chanzo chake kimeanzia katika msitu ulioko karibu na kwa mzee Cuthbert. Kijito hiki kirefu kilikuwa na maajabu hapo awali kilipokuwa kikianza ndani ya msitu huo. Kilikuwa na siri nzito ya bwawa na maporomoko ya maji makali lakini madogo, wakati kinajitokeza karibu na kichaka cha Mama Lynde kiligeuka kuwa mto ukitiririsha maji kwa adabu kama vile kilikuwa kinamwogopa Mama Rachel Lynde ukipita mlangoni kwake bila kelele yoyote. apate jibu kwa nini hakiko sawa.show more

Product details

  • Electronic book text | 590 pages
  • Kensington Publishing
  • Genesis Press Kiswahili
  • Swahili
  • 1585716502
  • 9781585716500